Okay nimekupata,huku tunapata za mchongo sumtime 400R sema dukani mpaka800R.Zinaanzia 90000 mpaka 150000 kulingana na maduka
Huko zinauzwaje
Aisee kumbe zina bei , maduka gani hapo mjini daslamZinaanzia 90000 mpaka 150000 kulingana na maduka
Huko zinauzwaje
Ni mpya mkuu sema mpaka walete jamaaHizo za mchongo àni mpya
Na nikizitaka ninaweza kuzipata nyingi