Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
HABARINI WANA-JF, Kama title inavyojieleza hapo juu nauza tanks za maji aina ya POLYTANKS zipo za ujazo wa aina tofauti ila kwa sasa zimebaki tanks za lita.10000 tatu na lita.5000 moja, bei kwa lita.10000 ni 1,500,000/= na lita.5000 ni 680,000/= ...zipo na upya wake hazina cracks zozote, kwa atakayehitaji anakaribishwa mawasiliano 0712269097.