Nauza Matikiti shambani

Nauza Matikiti shambani

Erick11

Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
22
Reaction score
39
Habari za majukumu!

Nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia sasa!

Nategemea kuvuna kuanzia ton 7 na kuendelea, pia kwa mwenye connection na wanunuzi wa zanzibar ay kenya naomba connection.

0658644485 ni namba yangu kwa mawasiliano zaidi.
 
Tikiti limemwagika huku mtaani balaa.ujipange kwa bei ndogo
 
Habari za majukumu!

nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia sasa!

nategemea kuvuna kuanzia ton 7 na kuendelea, pia kwa mwenye connection na wanunuzi wa zanzibar ay kenya naomba connection.

0658644485 namba yangu kwa mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom