Nauza mawazo ya vipindi vipya vya tv

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
968
Reaction score
711
Habari wadau,

Nimeweka hii thread huku kwasababu najua watu wengi wa media wanapita hapa.

Kifupi nina ideas za vipindi vipya vya tv sio vya kukopi nimebuni mwenyewe.

Tuwasiliane kwa ushauri au tufanye biashara.

Natanguliza shukrani.
 
Hasa ume base kwenye burudani au vipindi serious?
 
Pasco upo? bado hujanunua channel kwa wachina startimes?
 
Last edited by a moderator:
Ujasiriamali mzuri huo kwa kuzingata fursa zilizopo.Kila la heri....
 
vya aina zote, nina vya burudani, talk show za kipekee pamoja na serious programs. Vimejaa ubunifu kifupi ni vipya sio copy n pest.
Mkuu LF, (ELO EFU), Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya kwenye Biblia, "There is nothing new under the sun!".
Naamini unachofanya ni kuboresha tuu kilichopo, na uliweza kubuni baada ya kuona kilichotangulia, hivyo karibu sana.

Kwa ushauri tuu, kwa hapa bongo, hakuna TV yoyote au mtu yoyote atakayekulipa a single penny or cent kwa ubunifu wako, no one pays for idears no matter how creative they are!.

Cha kufanya ni kuchukua hizo idears zako, tengeneza a "demo program", that is the product that you can sell to TV Stations and production houses, that they can buy and make money!.
Pasco.
 

owkey ofcoz sio eti nayauza yakiwa kichwani nop bt nikishayatengenezea sample n ndo nafanya hvyo now.
 
Mkuu Mtazamo, nipo, namalizia Nane Nane Dodoma, nafinalize studio, napanda hewani na "Kwa Maslahi ya Taifa"
Pasco.

Iwe kabla ya 2015 labda tutaona kwa mara ya kwanza vipindi vya siasa very serious na hoja moto moto kwa style ya kumkoma nyani!!!!
 
Cheki pia na citizen kenya wanaweza wakazi-value kama kweli zimejaa ubunifu, kibongo bongo si unajua tena.......sie mambo ya kina Kafuku Kaurananga na Babu Mkombe yanatutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…