Nauza Mayai ya Kware

Nauza Mayai ya Kware

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
Habarini za asubuhi,napenda kuwaarifu kuwa nauza mayai ya kware kwa bei ya 15k kwa tray LA mayai 30,km utahitaji niPM au nicheki kwa namba 0657666740.
 
Unajua maana ya 15k ni bei gani au unaandika tu.
 
kwa hiyo bei ya 15k hautapata mteja na hakuna atakayekupigia cm....na kama haujui maana ya 15k usiwe unakurupuka kuandika usichojua
 
kwa hiyo bei ya 15k hautapata mteja na hakuna atakayekupigia cm....na kama haujui maana ya 15k usiwe unakurupuka kuandika usichojua

kwani mkuu 15k si 15,000 au??,mbona pia ni fair sana kwa mayai ya kware,k stands for killo,000
 
Unajua maana ya 15k ni bei gani au unaandika tu.

Wewe unajua maana yake ni nini? Tusaidine maana mimi najua K = Kilo ina simama badal ya sifuri 3 yaani 000. Katika vipimo kuna kilogram ambayo ni gram 1000. Kuna Kilometer ambayo ni mita 1000, kilobyte n.k. Shs elfu moja watu wanaita kilo. Hujawahi kusikia mtu akisema hebu nigee kilo hapo mara moja.
 
Naomba anayefahamu biashara mayai ya kware anieleze nasikia yanalipa sana.
 
Back
Top Bottom