Car4Sale Nauza Mazda Cx-3

Hujui brand ya gari unayoiuza sidhani kama utafanikiwa adhma yako. Hiyo ni Mazda CX 5 siyo CX 3.

Pili kwa namba hiyo ECZ ya mwaka 2013 labda uanzie Tsh 25 M ila kwa Tsh 27 M unatwanga maji kwenye kinu
Shukran Sana Kwa kunikosoa Mzee wangu.
Changamoto kama hizi hutokea kwenye Kazi.

Asante Sana Kwa Hilo Na karibu pia ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…