Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Safi sana moderator Umetuwakilisha Vyema kabisa wanachama wa CHAWAPIJA..(Chama cha Waomba Picha Jamiiforum)..Habari Mkuu,
Gusa sehemu hiyo imeandikwa Attach files kuweka picha zako. Tazama kwenye picha hapa chini:
View attachment 2940512
Dah! Sahihi kabisa. Angecheewa kidogo tu, wanachama tungeanza kuziulizia hizo picha kwa kasi ya ajabu.Safi sana moderator Umetuwakilisha Vyema kabisa wanachama wa CHAWAPIJA..(Chama cha Waomba Picha Jamiiforum)..
Nikiwa kama katibu wao natoa Pongezi kwako😀😀
Mkuu Mwl Evarist Mchele Jaribu kufuata maelekezo ya kaka Moderator kuweka Picha ili tuone
Halafu ina Mileage ya 30k tu..Mazda Verisa used tena hapa Bongo inauzwa 13M?
Kwa maneno hayo, ni dhahiri wewe ni dalali.. Ninayo mwenyewe mimi ndio mmiliki.
🤣Ukishaona gari Ina option ya exchange hapo bongo kimbia kama umefumaniwa