bei haina ushawishi. kwasababu bei unayouza wewe, na uraiani ni hiyohiyo.Nauza maziwa mgando na freshi nipo dodoma maili mbili free derivery kwanzia lita 5 ni Shilingi elfu kumi(10000) ndani ya dodoma
Piga 0613929286 kuweka oda yako nikuhudumia karibu sana.
Pia kwa wamama ambao wanatamani kufanya hii biashara nipigie nikupe maelekezo
Kama sio mnunuzi si unyamaze tubei haina ushawishi. kwasababu bei unayouza wewe, na uraiani ni hiyohiyo.
mtu anaona ya haja gani maziwa ya delivery?!, wakati hata mtaani kwake hatua 2 anapata kwa bei hiyohiyo!!.
Maoni muhimu mkuuKama sio mnunuzi si unyamaze tu
ushauri muhimu kwenye biashara. usipuuze ushauri.Kama sio mnunuzi si unyamaze tu
Inategemea, hapo mtaani kwako maziwa yana quality gani na huyo anaefanya delivery yana quality ipi.bei haina ushawishi. kwasababu bei unayouza wewe, na uraiani ni hiyohiyo.
mtu anaona ya haja gani maziwa ya delivery?!, wakati hata mtaani kwake hatua 2 anapata kwa bei hiyohiyo!!.
Upo sehemu gani boss kesho nikupitishie uonje hata kidogo maana bei ni moja ila ubora tofautibei haina ushawishi. kwasababu bei unayouza wewe, na uraiani ni hiyohiyo.
mtu anaona ya haja gani maziwa ya delivery?!, wakati hata mtaani kwake hatua 2 anapata kwa bei hiyohiyo!!.
Asante mkuu. Kila la kheriUpo sehemu gani boss kesho nikupitishie uonje hata kidogo maana bei ni moja ila ubora tofauti