Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

MaduhuJ

Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
64
Reaction score
83
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro).

SIFA ZA MBAO
  1. Mbao zimekomaa - zinachanwa kwenye shamba lenye miti ya miaka 21.
  2. Size za mbao ni zimejaa vizuri.
  3. Mbao ni nyingi sana.
SIZE ZA MBAO (12 Ft) & BEI (Tsh)
  1. 1x8 - 5,000
  2. 2x6 - 4,000
  3. 2x4 - 3,000
  4. 2x3 - 2,000
  5. 2x2 - 1,000
  6. 1x4 - 1,000
NB: Hizi ni bei za shambani. Mteja itabidi afuate mzigo shambani. Akihitaji kuletewa alipo, tutazungumza kuhusu usafiri. Malipo yatafanyika mzigo unapopakiwa.

Mimi SIO dalali kwahiyo ninahitaji mteja ambaye yupo serious na commited. Kwa mtu mwenye mahitaji makubwa (i.e mradi), tunaweza kuingia mkataba wa kusupply kutokana na mahitaji yake. Pia ninaweza kuchana size mbalimbali kutokana na mahitaji ya mteja.

Mawasiliano yangu ni 0746311251 (ipo WhatsApp pia).
 
Mkulima wa Mgololo hawezi kuwa na mwandiko mzuri hivyo.
Hahahaa kaka mimi sio mwenyeji wa Mgololo. Ni mjasiriamali niliyeamua kuingia porini mwenyewe kuitafuta pesa. Silimi wala similiki shamba huku, nanunua shamba(miti), nachana mbao na kuuza.
 
Tangazo limetulia, ongeza picha.
Nashukuru kwa wazo lako. Sijaweka picha kwa sababu mzigo niliokuwa nao umekwisha kutoka na siwezi kupost picha ya mzigo uliotoka. Nitakuwa naudanganya umma. Nipo shambani nachana mzigo mpya, ukikamilika tu mtapata picha zake.
 
Mkaratusi ukishika moto ni kama umemwagiwa mafuta ya taa
 
Mkaratusi ukishika moto ni kama umemwagiwa mafuta ya taa
Lakini ndio mbao ngumu kuliko msonobari(Pine) na pia ni mbao ambazo haziliwi na wadudu bila hata kufanya treatment. Kwahiyo kila kitu kina uzuri na ubaya wake, ni vizuri pia kuongelea uzuri wake.
 
Naweza kupata mbao mbili?
 
Lakini ndio mbao ngumu kuliko msonobari(Pine) na pia ni mbao ambazo haziliwi na wadudu bila hata kufanya treatment. Kwahiyo kila kitu kina uzuri na ubaya wake, ni vizuri pia kuongelea uzuri wake.
Oohh
 
Hahahaa kaka mimi sio mwenyeji wa Mgololo. Ni mjasiriamali niliyeamua kuingia porini mwenyewe kuitafuta pesa. Silimi wala similiki shamba huku, nanunua shamba(miti), nachana mbao na kuuza.
biashara nzuri sana hiyo nakuona mbali baada ya mwaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…