Nauza mbati yanayotoka nje ya nchi gage 28

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Ninauza mbati ya rangi ya blue/green yaliyobakia baada ya kuezeka nyumba yangu. Ni meter3 a futi 10 .Jumla yapo 31 nimeyanunua mwezi uliopita. Bei ya madukani kwetu ni Tshs. 31,0000/= mimi ninauza kwa 27,000 tu.
Ninaweza kukusaidia kupata ya kuongezea kutoka hapo niliponunua. Wailiana Nami NAMBA 0713 68 96 65 aU ni PM
ASNTE

nOTE: Nimeose KWENYE KICHWA CA HABARI "GAGE" NENO SAHIHI NI "GAUGE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…