Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
430
Reaction score
91
Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji.

Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc, Phosphorus, Iron, Potassium na Magnese, kuna faida kama 11 hivi za mbegu hizi.

Napatikana Dar, kwa namba 0788-318671 na bei inaanzia Tshs 3,000/

Pcha2.jpg
 
Ushuhuda ninaopata kuhusu faida za mbegu hizi hasa kwa wamama wanaonyonyesha ni za kushangaza. Mtu alikuwa na watoto mapacha saa hizi watoto wananyonya na ziada anakamua ujue hiyo ni miujiza midogo midogo kabisa
 
Kama miaka mi5 imepita.Mkuu atakuwa kashapiga hatua si haba.
Mtaji utakuwa umekuwa na anatuma mpaka nje ya nchi bila shaka.
Kuna mmoja nimempigia amesema anauza kilo moja 30,000 ikabidi niwe mpole.
 
Back
Top Bottom