Nauza mbegu za mbogamboga OPV

Nauza mbegu za mbogamboga OPV

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana.
Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670
1: mchicha aina zote
2: matango (aina ya Ashley)
3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande)
4: biringanya( aina ya black beauty)
5: ngogwe( tengeru white na GB3)
6: Mnafu( majani membamba na majani mapana)
7: bamia( pusa1 na Clemson)
8: vitunguu (red creole na Bombay red)
9: Pilipili mwendokasi (rangi ya njano)
 
Uko mji gani, nahitaji huo mnavu
Halafu mbona bei ghali sana
 
Uko nchi Gani mkuu? Au tupige ramli Ili tujue ulipo?
 
Back
Top Bottom