Nauza mbolea ya kukù

I see!
Iko mbali mnoo...hamtumi mikoani kama biashara zingine?
 
Mkuu hongera sana. Lkn naomba nijue kama hutojar huna eneo la kwako binafisi? Hata kama la kukodi?

Bei unayouzia hiyo kama ungekuwa na ka eneo hata ka ni nusu heka tu kuhusu chakula Cha kuku ingekusaidia sana ungeokoa gharama zaidi ya 70%

Kwann Nasema Hivi

Ukila mfano Chinese na mchicha tu kuku utawachumia hayo majani daily na watakula mno na 30 iliyobaki unawapa chakula Chao kama kawaida ila muda mwingi wanakula hayo majani.

Pili unaweza badiri kiasi fln Cha mbolea ukaaza kuzalisha funza wenye protein nyingi na pendwa sana Kwa kuku
 
Nimekuelewa sana sana kiongozi but mm nafuga broiler imekaaje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…