Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Mbwa bora, wamepata chanjo zote, afya bora, kwa mahitaji ya kununua au ushauri kuhusu ufugaji bora wa mbwa nipigie. Pia na supply nyumba za KISASA za mbwa. Karibu
Upo wapi nahitaji
Mbwa bora, wamepata chanjo zote, afya bora, kwa mahitaji ya kununua au ushauri kuhusu ufugaji bora wa mbwa nipigie. Pia na supply nyumba za KISASA za mbwa. Karibu
_________________________Upo wapi nahitaji
upo wapi nahitaji
mbwa bora, wamepata chanjo zote, afya bora, kwa mahitaji ya kununua au ushauri kuhusu ufugaji bora wa mbwa nipigie. Pia na supply nyumba za kisasa za mbwa. Karibu
upo wapi nahitaji
Kiongoz Unafanya Biashara Au Masihara? Next Time Ukiweka Tangazo Hakikisha Lina Taarifa Zote Muhimu. Eg Breed Ya Mbwa UnaouzaMbwa bora, wamepata chanjo zote, afya bora, kwa mahitaji ya kununua au ushauri kuhusu ufugaji bora wa mbwa nipigie. Pia na supply nyumba za KISASA za mbwa. Karibu
Upo wapi nahitaji
Kiongoz Unafanya Biashara Au Masihara? Next Time Ukiweka Tangazo Hakikisha Lina Taarifa Zote Muhimu. Eg Breed Ya Mbwa Unaouza
Upo api
aina mbalimbaliMpwa nikuulize swali ulilojiuliza,.....unapatikana wapi?
Je wauzaje hao mbwa? Wana umri gani?
Na mabanda je?
Ninazo aina mbali mbali za mbwa umri tofauti tofauti samahanini kwa kilicho tokea mambo ya smartphone hayo hata mi nimecheka sana
Duh....multiple ID syndrome???
Acha tu mkuu, JF ina vijimambo si mchezo
Asingekosea angejijibu mwenyewe si ajabu mpk kujaza uzi
Nipo zinza dar es salaam
Nahitaji mbwa Germanysharphd dume miezi miwili au mmoja. Nitumie picha na bei yake kwa WhatsApp tumia namba yangu 0787344999 au wasiliana nami kwa namba 0655344999Nime cheka sanaa.....hahaha
Maghetto magumu.
Atakua na ID nyingi humu kajichanyahahahaha..... mkuu, mbwa unauza wewe halafu we mwenyewe unahitaji??? hahaha, umeumbuka na multiple ID
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahaha..... mkuu, mbwa unauza wewe halafu we mwenyewe unahitaji??? hahaha, umeumbuka na multiple ID