Chilamwina
Member
- Aug 5, 2023
- 12
- 35
Broo nitoke chamazi hadi kimara nilete kilo 2 kweli, wewe nunua tu hukohukoMbona bei kama za mtaani nipo kimara nataka kilo mbili mchele wa 1600
Kila la kheri MwambaBaada ya kujidunduliza na kujinyima nyima nikapata kamtaji ka kupata nusu tani ya mchele
Nauza mchele kwa bei ya 1600 ,1800,2400 na 2800
Flem yangu ipo chamazi jirani na uwanja wa azam complex,pia nafanya delivery kwa wale ambao watakosa muda wa kufika ninapouzia
Namba yangu ni 0682528220.
Kwa akili hii mkeo lazima aolewe😄Hongera sana. Nipo Nyanchenche sengerema nahitaji robo kilo.
Kwa akili hii mkeo lazima aolewe😄bora umenisaidia kumsema kaka,la sivyo mngesema nina kauli mbaya kwa wateja