Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

Ukihitaji malighafi, mkulima nipo hapa
 
Unauza mchele au unataka kusaidiwa? Mara 2550 mara 2600...tuliza akili biashara za kusaidiana kwenye ubepari hazipo.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni binti nimemaliza chuo kutoka na hali ya maisha nimemaua kujiajiri nilifanya biashara ndogo ndogo hapo nyuma wakati nasoma nimekusanya mtaji kwasasa nasambaza mchele.

Mchele umekua graded kabisa. Ni mzuri, mpya na msafi sana. Nawaomba mnisaidie jamani mnunue.

Nakuletea popote ulipo. Nina uwezo wa kusupply hadi tani 1. Nisaidieni jamani. Mawasiliano ni 0766510504.

Nipo Dar es salaam Tabata
Bei 2550.

Mchele nilionao ni grade A
Bei ya jumla 2600.

Nakuletea ulipo.
Jieleze vizuri,
Bei ya jumla inaanzia kilo ngapi?
 
Mimi ni binti nimemaliza chuo kutoka na hali ya maisha nimemaua kujiajiri nilifanya biashara ndogo ndogo hapo nyuma wakati nasoma nimekusanya mtaji kwasasa nasambaza mchele.

Mchele umekua graded kabisa. Ni mzuri, mpya na msafi sana. Nawaomba mnisaidie jamani mnunue.

Nakuletea popote ulipo. Nina uwezo wa kusupply hadi tani 1. Nisaidieni jamani. Mawasiliano ni 0766510504.

Nipo Dar es salaam Tabata
Bei 2550.

Mchele nilionao ni grade A
Bei ya jumla 2600.

Nakuletea ulipo.
Jaribu kuweka na picha ya huo mchele wako ili kuvutia wateja. Binafsi nimevutiwa sana na upambanaji wako.

Pia ungerekebisha hapo kwenye bei. Matarajio ni kuona bei ya jumla kuwa chini kidogo kuliko ile ya reja reja.
 
Mimi ni binti nimemaliza chuo kutoka na hali ya maisha nimemaua kujiajiri nilifanya biashara ndogo ndogo hapo nyuma wakati nasoma nimekusanya mtaji kwasasa nasambaza mchele.

Mchele umekua graded kabisa. Ni mzuri, mpya na msafi sana. Nawaomba mnisaidie jamani mnunue.

Nakuletea popote ulipo. Nina uwezo wa kusupply hadi tani 1. Nisaidieni jamani. Mawasiliano ni 0766510504.

Nipo Dar es salaam Tabata
Bei 2550.

Mchele nilionao ni grade A
Bei ya jumla 2600.

Nakuletea ulipo.
Kilo 15 Bado unaleta??
 
Back
Top Bottom