Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

Ni bora ungetaja eneo ulipo. Maana dar kubwa
 
Hiyo nguvu uliyotumia kutia huruma ungetaja na bei kutokana na grade ulizonazo ungetusaidia sana ili ata tukipiga simu tujue pakuanzia
 
Ukihitaji malighafi, mkulima nipo hapa
 
Unauza mchele au unataka kusaidiwa? Mara 2550 mara 2600...tuliza akili biashara za kusaidiana kwenye ubepari hazipo.


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Jieleze vizuri,
Bei ya jumla inaanzia kilo ngapi?
 
Jaribu kuweka na picha ya huo mchele wako ili kuvutia wateja. Binafsi nimevutiwa sana na upambanaji wako.

Pia ungerekebisha hapo kwenye bei. Matarajio ni kuona bei ya jumla kuwa chini kidogo kuliko ile ya reja reja.
 
Kilo 15 Bado unaleta??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…