Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

SOWETO MAN

Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
35
Reaction score
64
Habari za muda huu wana jukwaa?

Mimi ni mjasiriamali mdogo naji husisha na biashara ya mvinyo halisi wa Dodoma.
Nina lita 3000 za mvinyo ninazo ziuza kwa bulk PURCHASES only

Mvinyo huu una umri wa miezi 8 sasa na kwa kila lita nauza kwa sh. 4500/=
Karibuni sana!.
Kwa Mawasiliano zaidi : 0621599120
 
Hii ni bulk zipo sealed kwenye pipa za lita 1000
Nilikuwa na waza, kuliko kuuza kwa ujumla, wajitokeze watu wenye 'lable' zao mfano 'equation x wine' afanyie packaging hapo kwako, yeye achukue mzigo ukiwa tayari kwenye chupa/vifungashio kwa makubaliano maalumu mtakayo kubaliana (mkataba) naona hii itaboresha 'chain' ya bidhaa yako.​
 
Hii ni njia naitumia pia ila kwa conditions maalumu.
 
Mie kuna andiko nilipeleka Kanisani kwangu ili tufungue mradi wa kupack huo mchuzi kwa ajili ya Sakrament,,,naona hawakunielewa....hata hivyo usikonde soon nitakuwa mteja wako,,,soko lipo makanisani
 
Hii ni njia naitumia pia ila kwa conditions maalumu.
Mkuu Nipe Litre 5 Nionje Kwanza
Nimepambana Kuufufua Huu Uzi

Muda Huu Nimekunywa Glass 1 Dry Wine 🍷 πŸ‘Œ
Nipata Uweponi Mwake
 
Mkuu Nipe Litre 5 Nionje Kwanza
Nimepambana Kuufufua Huu Uzi

Muda Huu Nimekunywa Glass 1 Dry Wine 🍷 πŸ‘Œ
Nipata Uweponi Mwake
Mkuu nashukuru kwa mchango wako huu πŸ˜…, ila mimi nacho ona hapa sio kwamba ifanikiwe kwanza biashara ndio tukae chini?😁
 
Zimebaki chini ya lita 2000 tu , asanteni kwa wote mlio nifikia πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…