Nauza migebuka jumla na rejareja

byongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
827
Reaction score
1,948
Habari zenu..
Nauza samaki aina ya migebuka kwa jumla na rejareja..
Naweza kukuletea ulipo kulingana na idadi ya samaki utakaochukua..
Kuna wa mafungu na kuna mmoja mmoja.
Bei ya mafungu ni 2000.. Na mmoja mmoja bei inaanzia 1000 mpaka 2500 kwa mmoja.
Nipo Dar Es Salaam na napatikana kwa namba 0693255995 (kwa maongezi ya biashara TU)



 
hivi hawa samaki huwa wapo waliokaangwa tu??
 
Mmmmh... watamu balaa! utawauza hadi mzigo uishe.
 
Mi mbn siwajui ni sijawahi kuwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…