Nauza Migomba ya Tissue Culture

faida ya migomba itokanayo na tissue ni nini ukilinganisha na suckers za kawaida??
 
Arusha mnapatikana wapi???

Nyie sio ndio mnajiita Maua Mazuri
Bei za wataalamu ndio kubwa. Kuna mzee aliniambia mmoja elf 5. Ukipiga hesabu kwa heka 5000× 400= 2000000 Wakati ya kienyeji unakatiwa tani yako na mengine inazaa vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…