INAUZWA Nauza Milango mitano ya MNINGA

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari za wakati huu Wana JF.

Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA.

Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO.

Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam
Karibuni SANA 0768 838320.

Kwa anayeitaji karibu sana kwa mawasiliano

 
Milango bado inapatikana kwa bei tajwa hapo juu, Ipo TABATA KINYEREZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…