Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 821
- 1,376
Mkongo ni kama mninga kwenye ubora. Ni mbao ngumu sana.Weka na sifa ya mkongo kwenye kutengeneza milango. Fasta
Kwamba wewe hii ni biashara yako au umeiotea tu mahali?Ninauza milango mipya ipo 22 ni mti wa mkongo
Ipo milango 22 na kila mlango mmoja ni sh 230000
Ipo Ilala Bungoni
Call: 0788929673
View attachment 2757562View attachment 2757563View attachment 2757564View attachment 2757565
180000 hailipi boss wanguKiongozi kama itakupendeza nataka mitatu kwa kila mmoja kwa 180000.
Asante