nauza(mini bus) dala dala

nauza(mini bus) dala dala

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
nimeamu kuuza minibus yangu dala dala
seating capacity 24 seats
imported in 2010 january
bei milioni 11

sababu ya kuuza:nimeamua kupunguaza magari ,nabadilisha biashara - kuwekeza zaidi ktk ufugaji na kilimo
0787985161
 
Imported 2010? Mill. 11? mkuu ni minibus ya aina gani? ilitengenezwa lini? Ilipata ajali nini?
 
mkuu ni ya mwaka 2001,hiyo bei ni sahii na haipungui sinahaja ya kuanza na milioni 14 ili ipungue,na haijawahi kupata ajali ,kma nilivyosema nimeamua kupunguza magari na kuongeza nguvu ktk kilimo na ufugaji najiandaa kuondokana na vurugu za city life

Ni make gani? ingekuwa vizuri ukiweka details za kutosha ili kupunguza maswali ya mnunuzi mtarajiwa kama , aina ya gari, km ilizotembea mpaka sasa ina piga mzigo wapi - route, kama ina tatizo linalotakiwa kurekebishwa n.k pamoja na picha za gari.
 
nita upload picha soon kupunguza maswali
 
Back
Top Bottom