newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Imported 2010? Mill. 11? mkuu ni minibus ya aina gani? ilitengenezwa lini? Ilipata ajali nini?
Ni make gani? ingekuwa vizuri ukiweka details za kutosha ili kupunguza maswali ya mnunuzi mtarajiwa kama , aina ya gari, km ilizotembea mpaka sasa ina piga mzigo wapi - route, kama ina tatizo linalotakiwa kurekebishwa n.k pamoja na picha za gari.mkuu ni ya mwaka 2001,hiyo bei ni sahii na haipungui sinahaja ya kuanza na milioni 14 ili ipungue,na haijawahi kupata ajali ,kma nilivyosema nimeamua kupunguza magari na kuongeza nguvu ktk kilimo na ufugaji najiandaa kuondokana na vurugu za city life