Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Hello JF,
Nina miti yangu ya mwarobaini. Nafkiria kuikata niiuze kwa kweli imekomaa sana na inaweza tumiwa kwa ajili ya mbao au mkaa. Nilikuwa naomba wadau mnisadie kukadaria thamani yake each in Tshs ili ni estimate faida/hasara zake. Kuhusu eneo husika ni private owned.
Shukrani.
Nasikia mbao zake ni kama Mninga,ila advantage yake ni kwamba hazigongwi kabisa. Na mimi ninayo ila haijakomaa sana.Ukipata mteja komaa,nasikia ni mali kweli kweli.
what is the approximate diameter of the trunk of your trees