predizen
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 206
- 214
Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo usiogope bei tutafikia muafaka mzuri tu.. namba yangu ni hii 0625 601 589 karibu sana.