Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
tutasikia mengi mwaka huu!Napatikana kata ya Pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni kuanzia tsh 15,000/=@ Lita kulingana na idadi ya lita unazohitaji.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ,kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.
Kuna boya anatafutwa hapa apigwe na kitu kizito chenye ncha kali utosini. Na atapatina tu, believe me!Napatikana kata ya Pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni kuanzia tsh 15,000/=@ Lita kulingana na idadi ya lita unazohitaji.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ,kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.
Kwanini usiuze mkojo wako mwenyew nae sungura auze kivyake? maliasili mko wapi au hii sio kazi yenu?Napatikana kata ya Pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni kuanzia tsh 15,000/=@ Lita kulingana na idadi ya lita unazohitaji.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ,kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.
Nikiuza wakwangu utanunua?! Sungura wapo aina mbili.Kwanini usiuze mkojo wako mwenyew nae sungura auze kivyake? maliasili mko wapi au hii sio kazi yenu?
Ingefaa kusema utajifunza mengi mwaka huu.tutasikia mengi mwaka huu!
Uwepo wa baadhi ya watu matapeli kumepelekea watu kudhani kwamba watu wote ni matapeli kwahiyo kila taarifa inayotolewa watu kudhani kuwa mtoa taarifa ni tapeli.Hii project watu walishaingizwa Chaka wakapigwa za uso, naona unataka tu kuwakumbusha machungu
Mwaka gani ilikuwa ?Niliwahi utumia..aise ni mbolea nZuri mno jani linakua kijanii..ila mbona wewe una bei? Mi nilinunua 5 lts kwa 10000/-
Naishi pasua jirani na makaburi ya Pasua.Pasua ni kubwa sana, uko boma mbuzi,sokoni,shuleni,msikitini au wapi? Isijekuwa ni matindigani
2yrs ago .now wanauza dumu 18kMwaka gani ilikuwa ?
ππ€£πMayai Ya Kwale Yanaongeza CD4 Haa...mkojo wa sungura.... π π hauna mayai ya kwale??