Unayo hii moja tu? Au mtu akihitaji 100 pcs anapata.Inatumia laini zote
System supported
Window2000/2003/XP/Vista/7/8 mac,linux,Android...
Tsh 25,000 tu
0758728258
Kweli kabisa; hiyo modem imeandikwa hivyo ila haikamati mitandao ya 4G.ndo maana mi nikaomba anitumie screenshot, ndo ninunueHiyo modem ya aina hiyo niliwahi kununua Kariakoo nikairudisha kwakuwa haisomi 4G
Sent using Jamii Forums mobile app