Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 682
- 863
Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisaTabora ni kubwa mkuu unapaswa kusema tabora wilaya gani?
Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda.Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa
Umeliona hilo?!!!mkuu hakuna biashara ngumu kama ya kununua mpunga!!unaweza kuja kulia kilio ambacho, bora ushambuliwe na brigedia nzima , huwezi lia hivyo!!kwa wajuzi wa biashara hii tunajua nini hutokea pale una pokuja kuukoboa!!!Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda.