Nguo original wabongo wengi hatuna uwezo wa kuvaaa, mfano jeans ya ZARA OG AMBAYO MIMI MTUMBA WAKE NAUZA 30K BUT UKITAKA MPYA MCITY AU KWENGINE SI CHINI YA 100K AU ZAIDI.Yani Mungu atusaidie wabongo. Yani tunashabikia kuvaa mitumba?;Nguo za marehemu au zilizochokwa na wazungu???
Afu bado tuna kazi nyingine ya kupambana na ushoga..
Kataa Wazungu, Kataa ushoga, Kataa mitumba...
Ifike muda sasa tuvae vitu OG afu wazungu wavae mitumba yetu....
WAZUNGU KUVAA MITUMBA YETU HAITAWEZEKANA MKUU,Yani Mungu atusaidie wabongo. Yani tunashabikia kuvaa mitumba?;Nguo za marehemu au zilizochokwa na wazungu???
Afu bado tuna kazi nyingine ya kupambana na ushoga..
Kataa Wazungu, Kataa ushoga, Kataa mitumba...
Ifike muda sasa tuvae vitu OG afu wazungu wavae mitumba yetu....