Nauza Muda wa Maongezi wa Vodacom wa 75000 kwa 60000

Evergreen

Senior Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
145
Reaction score
34
Salam Wanajamvi!!
Kichwa cha uzi huu chahusika,kama unahitaji contact me on 0767443345 na tufanye biashara!!
Cheeeeeeeeers!!
 
ni discount kubwa mkuu ila watu watajiuliza mengi ndio maana nikaquote hako ka-joke


Nimekuelewa Mkuu,hata hivyo sio kila mtu ni tapeli,ukiweza tunaweza kukutana face to face tukafanya transaction,unapokea muda wa Maongezi,unanipa hela,done!! Kama discount ni kubwa basi nitakuuzia 75000 kwa 65000 Mkuu!!!
 
im interested

nadhani biashara hii tunaweza maliza kwa transactions kufanyika kwa simu, yaani kwa kutumia m-pesa na kurusha/kuhamisha hizo vocha kwa simu,

sasa swali ni hili, nani ataanza kutuma, ni wewe utanirushia vocha kwanza halafu nikulipe kwa m-pesa au mimi nikutumie m-pesa halafu unirushie vocha?

regards
 
 
 
nimependa hii Dili,na inaonyesha the level of TRust within JF members. ila ningependa kujua hizi discount ni za Voda au kuna jinsi amepewa/kupata airtime free na ameamua kuziuza,
nimechelewa kupata hiyio airtime ,next time nami nitanunua,
swali no2. naweza kutumia hiyo airtime kwa ajili ya Internet?
 
Reactions: LAT

mkuu NM

kilichotokea ni kwamba,, baada ya makubaliano na Evergreen alinirushia airtime kwenye simu yangu na nikapata sms na account yangu ikawa imekua recharged TZS 25,000,, Baada ya hapo nikampa twenty minutes ili niweze kufanya transfer ya TZS 17,000 through m-pesa , after my transfer was successfully done,, Evergreen called me and acknowledge the receipt of payment via m-pesa,,

from there the deal was successfully done and everyone is happy

i am using my purchased airtime from Evergreen to the best of satisfaction, both data, voice and credit transfer to other vodacom subscribers

hii ndiyo JF bana
 
Tukiendelea kuaminiana hapa JF itakuwa vizuri sana kwa kweli,mfano kama hivi sasa hapo juu deal limefanyika faster tu....
 


Hakika,yote aliyosema Mkuu LAT ni kweli TUPU!!
Ni swala la Mtu tu kujiheshimu na kuwa Muaminifu,We did to the satisfaction of both parties!! JF ina watu Wazuri wengi tu na watu wanaweza kufanya kwa pamoja mambo Makubwa yenye maslahi ya pamoja including making new friends and business partners!!!
 
Tukiendelea kuaminiana hapa JF itakuwa vizuri sana kwa kweli,mfano kama hivi sasa hapo juu deal limefanyika faster tu....



Hakika Mkuu,yaani ilikwenda kiulaini kama kumsukuma Mlevi,Kuna watu Makini sana humu na Waaminifu,wachache ndiyo wanaweza kuwa siyo waaminifu which is Normal in any given society!!! Otherwise,if one uses Jf effectively,it could help one achieve great results and knowledge in many descplines!!!!
 
Mmm hii biashara bado haijaniingia kichwan hebu tuendele kungoja coz nami ntahitaji.
 
Mmm hii biashara bado haijaniingia kichwan hebu tuendele kungoja coz nami ntahitaji.


Kwa nini haiingii akilini? Mm ndiye niliyekua na Uza Airtime na Mkuu LAT na Inkoskaz wamenunua,nimewatumia wamenilipa kwa MPESA,Done!!
Hapo kuna kitu hakieleweki mkuu?!! Halafu sio kwamba ni daily business,imetokea tu once basi unless itokee tena!!
JF tunauza,tunanunua,tunabadilishana Mawazo,tunapeana Ushauri,tunatengeneza Marafiki wapya na mambo mazuri yanatokea!!

Suffice to say,Jf is a great forum,is a forum for matured people,people who can think critically!!
Jf oyeeeeeeeee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…