Ninauza mashine ya kusqfisha tiles, kukwangua rangi na kufanya skimming kwa bei sawa na bure.
Maelezo;
1. Inatumia umeme
2. Ina taa maalum zinawaka kuzunguka maahine kukuwezeaha kufanya kazi gizani.
3. Ina mfuko maalum wa kuhifadhia vumbi hivyo unaweza kufanya kazi ya vumbi bila kuchafuka
4. Ni mpya kabisa