Computer4Sale Nauza mzani mdogo wa kupima uzito.

Computer4Sale Nauza mzani mdogo wa kupima uzito.

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Wadau nauza mzani mdogo wa kupimia uzito wa kawaida kwa wanadam. Ni ule mzani ambao unakanyaga kupata kilo zako. Ni wa analog na sio digital.
Mzani huu nlikua nautumi kwenye project yangu flan na nmeutumia kwa almost two months na bado upo kwenye box lake.
Anayeuhitaj anaweza kuni-pm tufanye biashara.
Bei yake ni shilingi 80000/=
Karibuni, niko jijini DSM.
View attachment 1034287
 

Attachments

  • IMG_2973.JPG
    IMG_2973.JPG
    489.9 KB · Views: 43
Back
Top Bottom