Nauza mziki wa gari full kabisa

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habadi z majukumu,

Nauza mziki wa gari full kabisa,
busta Watts 1,3000
Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja)
Equlaizer
Vyote Kwa pamoja nauza 800,000
Unachukua na kufunga katika gari, ni mziki mkubwa saana unafaa hata katika coaster ama Escher na gari yoyote

Mawasiliano 0658644485
 
Nilishauweka chumbani ukawa haupigi ila kwenye gari ulikuwa unapiga sana. Niliuliza why haupig nyumbani kama kwenye gari nikajibiwa ila sadly nimesahau jibu 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…