INAUZWA Nauza na kutengeneza mashine mbali mbali

Joined
Jan 29, 2022
Posts
30
Reaction score
9
Je unahitaji mashine kwa kufanya biashara ya kuzalisha unga safi na bora wa sembe au dona na kusambaza kwa wateja wako wasiliana na kami machinery manufacturing kwa ushauri wa kitaalam zaid.

[emoji117]mashine ya kukoboa,
Mashine type, roller tatu(3)
[emoji117]mota; 30Hp 3 phase
[emoji117] uwezo wa kukoboa;tani kumi (10) kwa siku
Bei;1.5 million bila mota ikiwa complete na mota yake ni 3million tu karibuni sana, wasiliana nasi kwa nambari ya simu 0656873718,
 
Je unahitaji mashine kwa kufanya biashara ya kuzalisha unga safi na bora wa sembe au dona na kusambaza kwa wateja wako wasiliana na kami machinery manufacturing kwa ushauri wa kitaalam zaid.

Mashine type namba mia hamsini (150),
Umeme ni three phase,
Motor ;hp 60
Bei; million tatu (3million)
Location, mabibo mwisho,
Contact; 0656873718,0754043910View attachment 2101059
 
Mashine kusaga size 50,
Motor hp 25
Umeme, 3phase
Uwezo wa kusaga 350 kg, perday,
Bei 1m bila mota, ikiwa complete na motor yake 2m,

Tupigie 0656873718,,
Location; Mabibo mwisho





 
Machine ndogondogo za single phase vipi? hasa zile za kutengenezea chakula cha kuku
 
Mkuu motor ya 20Hp mnauzaje..?
Na motor ya 25Hp mnauzaje..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…