sina camera pia simu yangu haina uwezo wakupiga picha, lakini muonekano wa hiyo hauna tofauti yeyote na hii yangu ndo maana nikaona hata picha hizo zinafaa.sasa mbna picha ya kudownload? weka picha yake na useme inakaa na chaji mda gani
WE sema tu hela huna, sio uwanze kuleta porojo, hiyo laki moja duka gani na wapi? njoo nikupe hiyo laki moja ukaninunulie, sio unaongea tu kwa vile umepewa mdomo na mungu!
I think ulimaanisha Dell Latitude E6330 na siyo E630 maana hiyo ya E630 haipo kwenye soko
Bei ni 250
na sija sema lazima uje ununue kwangu, nenda huko wanapouza kwa bei hiyo, nyie watu wengine sijui mmeumbwaje!anachokwambia Saint Ivuga ni kweli, hizo d620, d630 bei ya jumla laki na 50!!
Hio laki moja inauzwa