Nauza nauza LAPTOP iko poa ,bei poa!

na sija sema lazima uje ununue kwangu, nenda huko wanapouza kwa bei hiyo, nyie watu wengine sijui mmeumbwaje!

hahahaa mimi sina shida na computer aisee, tena computer yenyewe ya kizamani hiyo, nilikuwa nakuelekeza tu kwamba ulichokuwa unakibishia ndiyo ukweli wenyewe, ulichotakiwa kufanya ni kunikonyeza tu kwamba "chuna kaka mkubwa naganga njaa", umesahau kwamba hapa ni jf watu tunafumbuana macho tu! samahani kama nimekukwaza.
 
Kumbe hata humu kuna wachawi!
 
Mkuu niuzie laki mbili, ninayo kama uko tayari nipm
Nishaiuza, ila usijari ninayo nyingine, unaweza kuja kuiona kama utaipenda tutafanya biashara mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…