Nauza! Nauza! Nauza! Nauza!

Senior Lecturer

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
177
Reaction score
74
Nipigie ktk 0717210880 & 0777210880

Shule ya Msingi, ipo Arusha, INA MADARASA, OFISI, FENCE na Piki piki ama boda boda T 122 CFL, ipo KIBAHA, ilinunuliwa mwezi June 2013! Maeleweno ktk bei yapo!
 
Mh,Mbona tangazo lipo very rough na simple namna hii.
Ni kweli wewe ni mmiliki na upo seriouse katika kuuza hizo bidhaa?
Yaani tangazo la shule unachanganya na bodaboda.Ikiwa dalali nitakuwa nimekuelewa ila kama ni mmiliki bado post haijawa na ushawishi wa ununuzi.

Kama ni mmiliki tafuta expert akushauri namna ya kuandika tangazo la biashara,maana uandishi wa tangazo lenyewe unaonyesha ni kwanini unauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…