B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 Dec 5, 2018 #1 habari wadau....ninauza nazi konki kabisa kutoka lindi kwa bei ya jumla.Nazi kubwa nitakuuzia kwa 750 na za saizi ya kati kwa 600.Nazi ziko nyingi na ziko vizuri vimekomaa na kukauka.Kwa anayehitaji nicheki PM
habari wadau....ninauza nazi konki kabisa kutoka lindi kwa bei ya jumla.Nazi kubwa nitakuuzia kwa 750 na za saizi ya kati kwa 600.Nazi ziko nyingi na ziko vizuri vimekomaa na kukauka.Kwa anayehitaji nicheki PM
Mr dark light JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 298 Reaction score 253 Dec 5, 2018 #2 Location au unatuma whatssap
RASHIDI OMARY JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 524 Reaction score 501 Dec 5, 2018 #3 Mr dark light said: Location au unatuma whatssap Click to expand... Bei sio rafiki kabisa