INAUZWA Nauza nazi

INAUZWA Nauza nazi

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
31,583
Reaction score
92,670
Mabibi na mabwana, nina nazi nauza ndugu zangu, kwa oda zimebaki chache, aseme mtu alipo nitamletea,
Wahi kabla hazijaisha, ila hizi zikiisha naweza pia kukuchukulia kwenye mashamba ya jirani kwa oda maalum, mzigo upo njiani unakuja dsm kigamboni, unatokea mkuranga, hivyo watu wa maeneo haya njiani nitawashushia.

Nina washikaji wengi nilianza kutaja mmoja mmoja, wengine nitasahau, mtanisamehe nitakaowasahau(ndio ubinadamu huo)

Ila nyie wanangu, siwataji nikiwataja nitajaza uzi wote, muwanunulie mashemeji kama hamna hata mama zetu nyumbani

0659445718

Khantwe financial services @rebeca83 Evelyn Salt ledada reymage Shunie Maya Angelou Joanah Depal Sky Eclat Kelsea witnessj amu mawardat Kasie Nakadori Angel Nylon Heaven on Earth Heaven Sent
 

Attachments

  • IMG_20210629_195408.jpg
    IMG_20210629_195408.jpg
    841.7 KB · Views: 33
  • IMG_20210617_182958.jpg
    IMG_20210617_182958.jpg
    622.5 KB · Views: 35
  • IMG_20210617_183009.jpg
    IMG_20210617_183009.jpg
    543.7 KB · Views: 34
Back
Top Bottom