jasiri shayo
Member
- Oct 7, 2013
- 35
- 10
nauza ng'ombe watatu was maziwa kila mmoja 2200000/= wanapatikana Moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nauza ng'ombe watatu was maziwa kila mmoja 2200000/= wanapatikana Moshi
Vzr sana, sasa malizia kwa kuweka taarifa zifuatazo;
1.aina ya ng'ombe
2.umri wao
3.wamezaa mara ngapi.
4.wanauwezo wa kutoa lita ngapi kwa siku
5.tupiamo na kapicha
Note: Bei peke yake sio kigezo cha mtu kununua bidhaa bali taarifa za hapo juu ni muhimu kuliko bei. ushawahi kujiuliza kwanini tunapita bar na pub nyingi tu zinazouza bia 2,300/= alaf tunaenda pale wanapouza kwa 3,000/=?
Hayo tu!
wamebakia wawili na wote wanamiaka miwili, wamezaa Mara moja na moja anatoa Lita tano na mwingine saba