Nauza nguo za kike mtumba grade A+

Miss GOLDY

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
9
Reaction score
4
Karibuni sana wapendwa Daju Collection.

Sisi ni wauzaji wa nguo za kike za mtumba classic GRADE A+ kwa kila occassion yako.
Ofisini [emoji91]
Kanisani [emoji91]
Harusini [emoji91]
Beach [emoji91] NK.

Bei zetu ni kuanzia Tsh 15,000

Tunapatikana DSM - Posta Samora jengo la NHC House

Call/Whatsapp - 0718446630

Mzigo mpya ni kila siku, kuwahi kwako kulipa ndio kuapata.

DSM tunafanya delivery, na mikoani tunatuma pia kwa gharama za mtenja.

No Refund [emoji777]️, Exchange within 48HRS [emoji736]️.

Unaweza kusave namba yangu ukanitumia msg inbox nikasave yako pia, nikijua size yako utakuwa wa kwanza kuona nguo za size yako.

Hizi ni sample;


-
 


Yaani mama mtu hapo kila nguo akivaa inakaa 😍😍
 
Ngoja nimchukulie Malikia mmoja, huenda akalainika awe ananipea Morning glory kila siku 🤗
 
Subscribed and liked
 
Safi sana! Unauza mabalo au rejareja tu?
 
Mwenye kujua chimbo la nguo za duka za kike anipe connection
Nimeanza biashara hiyo Kwa mtaji mdogo, changamoto ni baadhi ya wafanyabiashara wa kariakoo siyo waaminifu kwenye nguo alizochagua mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…