Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unafuga nguruwe kiongoziHabari wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja
Umri: mwaka mmoja
Aina: largewhite *landrace
Mawasiliano: 0672493720/ 0717201982
Mimi kabla ya kuchangia Uzi kitu cha kwanza kutazama ni tarehe ....Weka Picha na Bei kabisa, Niko nkuhungu, nakuja kimchukua sasaiv.
EwaaaaMimi kabla ya kuchangia Uzi kitu cha kwanza kutazama ni tarehe ....