Write your reply...Gari nzuri sana ila kwa hiyo bei mkuu! ikifika 8mil nicheck kwa 0767932386 tumalize biashara.
Hizi gari tunaogopa spea zake maana ikifa moja leo kesho inakufa nyingine na kesho kutwa nyingine na kupata mpaka kenya au nje.
Ndio maana nissan tunazikimbia.
Au tushawishi tuone
Ina CC ngapi?
10m unachukua?
Niliposoma bluebird nikajua ile old model