Car4Sale Nauza Nissan Civilian (Engine 6cylinder)

Car4Sale Nauza Nissan Civilian (Engine 6cylinder)

mozilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
770
Reaction score
1,222
Wakuu heshima kwenu
Nauza Nissan Civilian gia fupi, engine 6cylinder, gari ipo ndani imepaki tu.
Tsh 33milion (maongezi yapo)

Call 0714 521128

Gari ipo Dar es salaam, ilala

N.B
Nina gari nyingi nauza new and used, kwa maitaji ya gari please don't hesitate to contact me 0714 521128

Bei yangu affordable

75b895beb5767a05be8c515505d6e717.jpg

fa5373dc146fbcec17b0a28ae8ce4db5.jpg

86625798a55415e5e1c5aced73aca78f.jpg

360a02b95a2071590f9c01f8a3cfae85.jpg

869e5dea46c9801291b69b8141ee08b5.jpg
 
Kumekuwa na kuibuka ongezeko la mauzo ya gari hii umeicheki kujua magonjwa uwe certificate siku hizi kuna electronik system check na unapata ripoti Ndani ya nusu saa,unafahamu hilo? Unaweza fanya hiyo ili tufanye biashara
 
Mozila yu kimya pitisha kwenye itapimwa na kutoa magonjwa yote ya gari,mbaya eeh
 
Kwenye computer Nduvini autoworks upate majibu kama bei ina ubora, mbaya?eeh
 
ukiunganisha hayo maelezo kwenye coment moja umeona utapungua meno au!!!?
 
Nataka kuja kagua gari ,Nissan civilian ipo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom