Nissan Civilian T 884 CWZ ya Rangi ya njano inauzwa, ipo kwenye hali nzuri na imefanya kazi kuanzia october 2014, inafanyiwa service. Inauzwa kwa kuwa zinahitajika fedha kwa haraka sana. Bei ni karibu na bure, Milioni 30 tu. kwa maelezo zaidi na Kama unahitaji nicheki whatsap, nipigie au nitext 0717 911014