Car4Sale Nauza Nissan Crown Milioni 6

Car4Sale Nauza Nissan Crown Milioni 6

Joined
Sep 11, 2014
Posts
10
Reaction score
8
Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote.
Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu.
 
Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote.
Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu.

Yambulisha yafuatayo:
1. Imeingia nchini mwaka gani?
2. Imesajiliwa Namba gani?
3. Imetembea kilomita ngapi?
4. Ukubwa wa injini in term of Cc
5. Ni Manual au Auto
6. Imeshawahi kuhusika katika ajali yeyote?
7.Tuwekee picha za nje na ndani
 
Back
Top Bottom