Miixed feelings Member Joined Sep 11, 2014 Posts 10 Reaction score 8 Feb 24, 2015 #1 Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote. Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu.
Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote. Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu.
Focus120 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 1,089 Reaction score 793 Feb 24, 2015 #2 Weka picha ili ku boost post yako.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Feb 24, 2015 #3 Imetembea km ngapi?
jolya002 Senior Member Joined Nov 5, 2014 Posts 154 Reaction score 87 Feb 24, 2015 #4 Weka picha tu thaminishe mzigo boss
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Feb 24, 2015 #5 Miixed feelings said: Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote. Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu. Click to expand... Yambulisha yafuatayo: 1. Imeingia nchini mwaka gani? 2. Imesajiliwa Namba gani? 3. Imetembea kilomita ngapi? 4. Ukubwa wa injini in term of Cc 5. Ni Manual au Auto 6. Imeshawahi kuhusika katika ajali yeyote? 7.Tuwekee picha za nje na ndani
Miixed feelings said: Wakuu gari hii iko kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote. Ni model ya mwaka 2001 na imetumika kwa miezi 6 tu. Click to expand... Yambulisha yafuatayo: 1. Imeingia nchini mwaka gani? 2. Imesajiliwa Namba gani? 3. Imetembea kilomita ngapi? 4. Ukubwa wa injini in term of Cc 5. Ni Manual au Auto 6. Imeshawahi kuhusika katika ajali yeyote? 7.Tuwekee picha za nje na ndani