Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 172
Wakuu habari za asubuhi, poleni na uchovu wa jana wa Simba day na pia siku ya mapumziko sikukuu ya Nanenane kwa wafanyakazi na wasio wapenzi wa kandanda.
Nimekuja tena kwenu nina shida nauza gari yangu chasses namba bado mpya kwa Tanzania ni used from japan, Nauza kwa bei ya kizalendo sana member aliye tayari tunaweza fanya biashara yawezekana isiwe wewe basi hata jirani, rafiki , mke , mume au hata workmate baada ya kuona tangazo nae ukamjulisha asiikose.
Make: Nissan Note
Yeae: 2006
Odo : 95500
Engine: MR 15
Size: 1498
Gear: CVT
Seat : 5
Door: 5
Bei ni 9m ikiwa pamoja na usajili juu yangu kwa jina la mnunuzi ila kwa 8.7 utasajili mwenyewe ikiwa kama unasubiri namba E utataka kutembelea chasses .
Mawasiliano 0677 210276
0763 950219
Zote zipo whatsap unaweza nichek kwa picha zaidi.
Ntaambatanisha na bei ya japan pamoja na ushuru hapo chini kwenye picha za gari ili niondoe utata kwa wajuaji na wakorofi kwa biashara nawe pia unaweza kuingia kwenye website hizo ukajiridhisha kwamba gari nakuuzia kwa bei nzuri mnoooo.
Tena hapo sijaweka port charges, agent fees , t b s na vingine. KARIBUNI WAUNGWANA KWA HESHIMA NA TAADHIMA .
Maswali mengine naweza jibu hapa mengine nchek whatsap au normal call tuchangamkie fursa kwa wenye uhitaji.
Note: Gari ipo Dar muda wowote unaweza kuiona.