Car4Sale Nauza Nissan Patrol 5,000,000/-

Car4Sale Nauza Nissan Patrol 5,000,000/-

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
526
Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine.

Inaweza kufaa kwa:-

1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii
2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi ya vifaa vyake vimechoka basi unaitumia vifaa vya hii kufufua hiyo mbovu.
3. Kuuza spare zake
4. Kama una engine nzima basi waweza kuifufua hii maana haina tatzio zaidi ya engine tu.

FYI: Iliharibika wakati ndo nimetoka kukarabati body lake, bush, shocks, tairi vyote vizima.

Ipo Kigamboni, Gezailole - 0784800989

1479015420440.jpg
1479015421024.jpg
IMG_20161111_084635.jpg
1479015416875.jpg
IMG_20161111_084645.jpg
 
mkuu engine yake ni sh.ngap? km nkitaka kuagiza nje?
 
Engine yake inategemeana na aina ila yenye Turbo ni $5000 plus na isiyo na Turbo ni $3000. Hata hapa zipo ilala wanauza 6m aina ya TD42 isiyo na Turbo
 
Umekuwa mkweli sana ahsante,
Ni vizuri kuwa muwazi na hata kwa swali na ushauri wowote kuhusu nissan patrol y60 model TD42 Engine au hiyo gari uliza tu
 
Upo vizuri, nakutakia kila la heri mkuu.
Ukweli kwenye biashara ni jambo zuri sana.
 
Mkuu kwanini usiinunulie injini wewe mwenyewe kisha ukitakã kuiuza ndipo uuze???.
 
Mkuu kwanini usiinunulie injini wewe mwenyewe kisha ukitakã kuiuza ndipo uuze???.

Ni kweli uko sahihi kabisa na ni gari ambayo kama umeishawahi kuitumia huweziku compare na hizi za kisasa maana haichagui mzigo wala hali ya hewa wala barabara hahaha ila naiuza maana nina hitaji hela otherwise ni gari ya kazi hasa za field, so comfortable, stable and durable.
 
Umekuwa mkweli sana ahsante,

Inabidi niwe muwazi ili mtu akiwa na uhitaji ajue kila kitu na nadhani pia hata mie itanisaidia kuokoa na kupata mteja sahihi kama ambavyo tayari baadhi yenu munauliza maswali ambayo ni technical, safi sana!
 
Samahani . Umezidisha Tarakimu kwenye andiko lako , nadhani una maaanisha 500,000/=.
 
Engine yake inategemeana na aina ila yenye Turbo ni $5000 plus na isiyo na Turbo ni $3000. Hata hapa zipo ilala wanauza 6m aina ya TD42 isiyo na Turbo
Kwa rate ya leo $5000 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
 
Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine.

Inaweza kufaa kwa:-

1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii
2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi ya vifaa vyake vimechoka basi unaitumia vifaa vya hii kufufua hiyo mbovu.
3. Kuuza spare zake
4. Kama una engine nzima basi waweza kuifufua hii maana haina tatzio zaidi ya engine tu.

FYI: Iliharibika wakati ndo nimetoka kukarabati body lake, bush, shocks, tairi vyote vizima.

Ipo Kigamboni, Gezailole - 0784800989

View attachment 433432 View attachment 433433 View attachment 433434 View attachment 433435 View attachment 433437
engine 91 Y ni shilingi ngapi sasa?
 
Back
Top Bottom